Postedy by Esta Malibiche on July 6.7.2016
|
Mh.Jenista Mhagama akisaini kitabu cha wageni alipowasili ofizi ya chama cha mapinduzi ccm mkoa wa Iringa |
|
Waziri wa Nchi,ofisi ya waziri mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira,na Walemavu
Jenista Mhagama akizungumza wa viongozi wa chama cha cha mapinduzi ccm pamoja na wanaccm alipowasili katika ofisi hizo.Waziri akiwa katika ofisi za chama cha Mapinduzi ccm Mkoa wa
Iringa aliwataka wana ccm kuunga mkono juhudi za Mh.Rais D.r John
Magufuli ili kuhakikisha Ilani ya chama cha mapinduzio inatekelezwa. |
|
|
|
|
|
Wazi Mhagama alisema imekuwa ni desturi yake kila anapofanya ziara mikoani ni lazima kutembelea katika ofisi za chama chake cha Mapinduzi ambacho kimemuweka madarakani.
|
Katibu
wa chama cha Mapinduzi ccm Mkoa wa Iringa Hassan Mtenga akizungumza
na wanaccm baada ya kutembelewa na waziri Mhagama katika ofisi za ccm
mkoa,alimpongeza waziri Mhagama kwa kutembelea ofisi ya chama cha
mapinduzi na kuwataka viongozi wengine wanaotokana na chama cha
mapinduzi kuiga mfano huo. |
0 maoni:
Chapisha Maoni