Postedy by Esta Malibicheon August 10.2016 in KITAIFA
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella mara baada
ya kuwasili katika Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza.
|
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya kuwasili akitokea Chato mkoani Geita. |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwapungia wanakwaya wa UWT Kisima cha maji Chumvi mara baada
ya kuhutubia wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza mara
baada ya kumaliza kuwahutubia.
|
![]() |
| Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya
kivuko cha MV. Misungwi wakati akielekea mkoani Mwanza. PICHA NA IKULU |










0 maoni:
Chapisha Maoni