Zikiwa zimesalia wiki nne kabla ya kuanza kwa msimu wa 2016/2017 kwa Ligi Kuu ya Tanzania, vilabu mbalimbali tayari vimeanza kujifua kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya.
Manchester United ni moja ya vilabu ambavyo vimeingia kambini ikiwa na kocha mpya, Jose Mourinho na wachezaji wengine wapya ambao wamesajiliwa kutoka vilabu mbalimbali barani Ulaya.
Mo Blog imekuandalia picha nne za kocha Mourninho alivyoanza kibarua chake cha kuinoa Man United katika Uwanja wa mazoezi wa Carrington.
363B3FC900000578-0-image-a-62_1468413102638
Kocha Mourinho akiwa na msaidizi wake, Rui Faira
363B3F2600000578-0-image-a-63_1468413108715
363B41C200000578-3688299-image-a-87_1468413393650
363B3E8700000578-0-image-a-64_1468413164081