Jumapili, 3 Julai 2016

NAPE ASHUHUDIA GAME YA GOMS UTD NA BUGURUNI UTD WAKATI WA KOMBE LA NDANDA

Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwasili kwenye uwanja wa michezo wa Chuo cha bandari kushuhudia mechi ya mpira wa miguuu kati ya timu ya Goms united ya Gongo la Mboto na Buguruni United.
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwasalimia wachezaji wa timu ya Goms United kabla mechi kuanza
kwenye uwanja wa michezo wa Chuo cha bandari ambapo timu ya Goms United ya Gongo la Mboto ilicheza na na Buguruni
United
Mshambuliaji wa Buguruni United akijaribu kutaka kmtoka beki wa Goms unite.
Kipa wa Buguruni United akiruka bila mafanikio na kuruhusu goli la kwanza kufungwa na Goms United.
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungumza wakati mechi ya mpira
wa miguuu kati ya timu ya Goms United ya Gongo la Mboto na Buguruni
United .
Amsha amsha ya mashabiki.
Sehemu ya watazamaji
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimkabidhi zawadi mchezaji bora wa siku kutoka timu ya Goms Utd, kushoto ni Mkurugenzi wa Clouds Media Ndugu Joseph Kusaga.
Timu ya Goms Utd iliibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Buguruni Utd katika mzunguko wa 16 wa michuano hiyo ya Ndondo Cup.

0 maoni:

Chapisha Maoni