MKUU wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne
Mtaturu mapema leo amehutubia waumini wa dini ya kiislamu katika msikiti wa
Ijumaa kuu Wilayani humo .
Kwa kutambua umuhimu wa Elimu nchini, Mtaturu
alichangia kiasi cha Tsh.Mill.1 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya
asekondari itakayokuwa chini ya msikiti huo.
Katika hotuba yake aliwataka wananchi
kuchangia shughuli za maendeleo ili wilaya hiyo iweze kusomba mbele
kimaendeleo.
Ninawaomba wananchi tushirikiane pamoja
ili tuweze kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili Wilaya yetu.
Nao Wananchi walimuunga mkono mkuu huyo wa
wilaya kwa kuchagia kiasi cha Tsh. 255,000 na kufanya kufikisha milioni 1,
255,000 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa shule hiyo.
|
0 maoni:
Chapisha Maoni