Washiriki wa mbio za baiskeli wakiwa tayari kuanza mashandano hayo.Mashindano haya hufanyika kila mwaka miji tofautitofauti nchini Ubelgiji.Mwaka huu yamefanyika kitongoji cha Mol. |
Kila mtoto leo asubuhi alipeleka maua sehemu maalumu waliyopangiwa kuyaweka,hii ni kuonyesha kwamba wanasapoti kupambana na kansa. |
Maganga One Blogger alikuwepo kusapoti upambanaji dhidi ya kansa nchini Ubelgiji.Eddy Murphy wa Ubelgiji pia alikuwepo. |
0 maoni:
Chapisha Maoni