Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano katika sekta ya
Mawasiliano Profesa Faustine Kamuzora amezindua rasmi safari za ndege
za shirika la ndege la nchini Mauritius jijini Dar es Salaam mapema jana
Mei 5.2016.
Shirika hilo limezindua safari za ndege za kutoka nchini Mauritius kuja Jijini Dar es Salaam na kutoka jijini Dar es Salaam kwenda nchini Mauritius ndege hizo zitaanza safari zake kuanzia leo Mei 6.201.






0 maoni:
Chapisha Maoni