Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida na Diwani wa CCM Kata ya Mtamaa, Chima Gwae ameendesha kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani jana mjini hapa na kujadiali mambo mbalimbali.
Diwani wa kata ya Misuna,Hamisi Kisuke,akiuliza swali la papo kwa papo kuhusiana na gari la zima moto kutokutegenezwa kwa muda mrefu.Hata hivyo alijibiwa kuwa taratibu zimeandaliwa kwa ajili ya kulifanyia ukarabati.
Mstahiki meya wa manispaa ya Singida na diwani wa CCM kata ya Mtamaa,Chima Gwae,akifungua kikao cha kawaida cha baraza la madiwani jana ().Kulia ni kaimu mkurugenzi wa manispaa ya Singida,Deus Lusiga na kushoto (wa pili) naibu meya Yagi kiaratu) na wa kwanza kushoto ni katibu CCM manispaa ya Singida,Elirehema Festo Nasari.
Baadhi ya madiwani wa manispaa ya Singida,wakifuatilia ajenda zilizokuwa zikitolewa jana kwenye kikao cha kawaida cha madiwani kilichofanyika jana mjini hapa.
Mbunge wa jimbo la Singida mjini ambaye kwa nafasi yake pia ni diwani (CCM),Mussa Sima,akichangia ajanda kwenye kikao cha kawaida cha baraza la madiwani manispaa ya Singida kilichofanyika jana.
Diwani wa kata ya Kisaki manispaa ya Singida,Mosses Ikaku,akichangia ajenda kwenye kikao cha kawaida cha baraza la madiweani kilichofanyika jana mjini hapa
Baadhi ya wafanyakazi wa manispaa ya Singida,wakiwa kwenye foleni kwa ajili ya kuhakikiwa ikiwa ni zoezi la kusaka watumishi hewa katika manispaa ya Singida jana .Picha zote na Nathaniel Limu.
0 maoni:
Chapisha Maoni