Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na
Naibu Mkurugenzi Kanda ya Afrika wa Gates Foundation ya Marekani,
Haddis Tadesse, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, May 5, 2016. (Picha na Bashir
Nkoromo).
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiagana na Naibu
Mkurugenzi Kanda ya Afrika wa Gates Foundation ya Marekani, Haddis
Tadesse, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, May 5, 2016. (Picha na
Bashir Nkoromo).
0 maoni:
Chapisha Maoni