Kiongozi
wa Timu ya Uzinduzi wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma
(PS3) mkoani Kagera, Abdul Kitula (kulia) akimkabidhi bahasha iliyo na
majina ya Halmashauri mbili zilizopitishwa kuanza utekelezaji wa mradi
wa PS3, Katibu Tawala Mkoa wa Kagera, Amantius Casmiri
Msole mjini Bukoba leo. Halmashauri Mbili za Wilaya ya Kyerwa na
Biharamulo ndizo zimechaguliwa kuanza utekelezaji wa mradi huo.Source:Father Kidevu Blog
Katibu Tawala Mkoa wa Kagera, Amantius Casmiri Msole akionesha bahasha hiyo iliyo na majina.
Katibu Tawala Mkoa wa Kagera, Amantius
Casmiri Msoleakizisoma Haklamashauri zilizo chaguliwa ambazo ni
Wilaya ya Kyerwa na Biharamuloambazo zimeonekana kuwa na uhitaji mkubwa
wa kuimarisha mifumo yake kulinganisha na Halmashauri zingine sita za
Karagwe, Muleba, Misenyi, Ngara, Bukoba Mji na Bukoba ambazo zitaingia
awamu ya pili.
Mkuu
wa Wilaya ya Kyerwa, Col (Mstaafu) Shaban Shaban Ilangu Lissu ambaye
Wilaya yake imechaguliwa kuanza awamu ya kwanza ya utekelezaji wa mradi
wa PS3.
Ofisa
kutoka PS3 Soud Abubakar akiwasilisha sifa na vigezo vilivyo tumika
kuzipata Halamashauri mbili za awali zilivyo patikana ili ziweze kuanza
utekelezaji wa mradi.
Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Kigoma wakifuatilia uwasilishaji wa taarifa kutoka Wilaya mbalimbali.
Washiriki wakifuatilia uwasilishajki huo.
Mwakilishi
wa Halmashauri ya Mji wa Bukoba, ambaye ni Mchumi Msaidizi, Rahel Mbuta
akiwasilisha kazi za makundi ambazo ziliainisha Changamato na maeneo ya
uboreshaji. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.
Meneja
wa Mifumo ya Habari na Mawasiliano wa Mradi wa PS3, Giovvan Di Piazza
akiwajibika kuhakikisha mawasilisho yote yanaenda vyema.
Washiriki wakifuatilia uwasilishaji kutoka katika makundi.
Mwakilishi
wa Halmashauri ya Wilaya wa Bukoba, ambaye ni Mhandisi wa Maji,
Ndolimana Kijigo akiwasilisha kazi za makundi ambazo ziliainisha
Changamato na maeneo ya
uboreshaji.
Washiriki wakiwamakini kusikiliza mada
Mkaguzi wa Hesabu wa Ndani wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi, Imani Mgonja akiwasilisha tarifa ya kundi la Halamashauri yake.
Maofisa kutoka Wizarani wakifuatilia kwa makini mawasilisho hayo.
Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Henrietta William akiwakilisha Halmashauri yake.
Mmoja wa washiriki akiuliza swali kutokana na mawasilisho ya makundi mbalimbali.
Mratibu
wa Mradi wa PS3 kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI), Bertha Swai akijibu na kutolea ufafanuzi baadhi ya maswali
yaliyoulizwa na washiriki.
Ofisa Utumishi kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Debora Mkemwa akifafanua baadhi ya hoja.
Dk Rest Lasway (kushoto) akizungmza na Nanzia Florence wote kutoka PS3.
Afisa
Maendeleo ya Jamii Mkuu kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa, Sebastian Kitiku akichangia na kujibu hoja
zilizotolewa.
Mtaalam wa fedha wa PS3 ambaye pia ni Kiongozi wa Uzinduzi wa mradi Mkoa wa Kagera, Abdul Kitula akizungumza.
Mtaalam
wa Masuala ya Utawala Bora katika Mradi wa PS3, Paul Chikira
akizungumza kwa niaba ya timu nzima ya PS3 iliyopo mkoani Kagera.
Wenyeviti
wa Halamashauri za Wilaya za Biharamulo, Hafsa Galiatano na Mwenzake
kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa, Kashunju Runyogote wakisikiliza
utangazaji wa Halmashauri zinazoanza mradi ambapo Halmashauri zao
zimechaguliwa kuanza. Source:Father Kidevu Blog
0 maoni:
Chapisha Maoni