Rais
John Pombe Magufuli , Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge, Ajira,
Kazi, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wapili kushoto)
wakishiriki kuimba wimbo maalum wa mshikamano wa wafanyakazi katika
sherehe za Mei Mosi zilizofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Jamhuri mjini
Dodoma na kuhutubiwa na Rais, Mei 1, 2016. Wapili kulia ni Rais wa
Shirikisho la Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Gratian Mukoba.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wazee wa Dodoma baada ya Rais
John Magufuli kuhutubia katika sherehe za Mei Mosi kwenye uwanja wa
Jamhuri mjini Dodoma Mei1, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Chapisha Maoni