Jumapili, 1 Mei 2016

FUKO WA PENSHENI WA PPF WATOA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2015, RAIS MAGUFULI AMKABIDHI CHETI NA KITITA CHA SH. MILIONI TANO


1Rais Dkt. John Magufuli,  akimkabidhi cheti cha mfanyakazi bora wa mwaka 2015 Enock Kalege, na zawadi ya Sh. milioni 5 iliyotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa mfanyakazi huyo bora wa mwaka, wakati wa Kilele cha sherehe za Mei Mosi zilizofanyika Kitaifa mkoani Dodoma leo,Mei 1,2016.
2Kutoka kushoto, ni Kaimu Murugenzi wa Bernard Konga,Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni PPF, William Erio na Mkurugenzi Mkuu wa LAPF Eliud Sanga, wakiwa katika sherehe za Mei Mosi Mkoani Dodoma leo,
Picha na Mpiga Picha Wetu

0 maoni:

Chapisha Maoni