Mmoja wa Mainjinia wa Mradi wa
711 Kawe Bw.Kishor Hirani akimelezea jambo Meneja mradi Injinia Samwel
Metil wakati menejimenti ya shirika hilo ilipotembelea katika mradi huo.
Wakuu wa vitengo mbalimbali na mameneja wa mikoa wakitembelea mradi wa 711 Kawe leo.
Mmoja wa Mameneja wa NHC kutoka
mkoani Dodoma Bw. Itandula Gambalagi pamoja na wenzake wakiwasili
kutembelea mradi wa Morocco Square.
Muungano Saguya kulia Yahya
Charahani kushoti na Itandula Gambalagi wakijadiliana jambo wakati
walipotembelea mradi wa 711 Kawe pamoja na wenzao.
Jengo la Mradi wa Eco Residents ambalo limekamilika kwa asilimia 99%.






0 maoni:
Chapisha Maoni