Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akipewa saluti na Kijana wa Umoja wa
Vijana wa CCM wilaya ya Moshi mjini, Amiri Masawe, baada ya kuwasili
mjini Moshi na kufika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro kuzungumza na
watendaji wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Wapili ni Katibu
wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius utagumirwa na watatu ni Mkuu wa
Kitengo cha Utafiti na Mafunzo ya Itikadi kutoka Idara ya Itikadi na
Uenezi, Makao Makuu ya CCM, Frank Uhahula.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Kilimanjari Iddi Juma Mohammed baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa huo
mjini Moshi leo. Kulia ni Katibu wa CCM wa mkoa huo Deogratius
Rutagumirwa
Kiongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM akiamrisha vijana kuongeza ukakamavu
wakati akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi Ofisi
ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo
Kiongozi
wa Umoja wa Vijana wa CCM, akimpigia saluti ya kumkaribisha Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa
Kilimanjaro mjini Moshi leo
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alisindikizwa na Katibu wa CCM
mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Ruta, wakati akienda kuingia katika Ofisi
ya CCm ya mkoa huo mjini Moshi leo
Baadhi
ya viongozi wa CCM wakiwa tayari kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa
CCM-Bara Rajab Luhwavi kuingia Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini
Moshi, leo
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiwasalimia viongozi wakati
akienda kuingia katika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo
“WEWE
UTAKUWA KADA SAFI WA CCM” Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi
akimsalimia Chipukizi, Rehema Mohammed (6), ambaye ni mtoto wa mmoja wa
viongozi wa CCM waliomlaki alipokuwa akiingia katika Ofisi ya CCM mkoa
wa Kilimanjaro mjini Moshi leo
“WEWE UTAKUWA KADA SAFI WA CCM” Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab
Luhwavi akimsalimia Chipukizi, Rehema Mohammed (6), ambaye ni mtoto wa
mmoja wa viongozi wa CCM waliomlaki alipokuwa akiingia katika Ofisi ya
CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akisaini kitabu cha wageni
katika Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo
Katibu
wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Rutagumirwa akiteta jambo na Mkuu
wa Kitengo cha Utafiti na Mafunzo ya Itikadi kutoka Idara ya Itikadi na
Uenezi Makao Makuu ya CCM, Frank Uhahula, Ofisini kwa Mwenyekiti wa CCM
wa mkoa huo, walikokuwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimwelekeza jambo Mwenyekiti wa
CCM mkoa wa Kilimanjaro, Iddi Mohamed, wakati wa mazungumzo yao mafupi
katika Ofisi ya CCM ya mkoa huo leo
Katibu
wa CCm mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Rutagumirwa akisoma taarifa ya
mkoa huo kabla ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi (kulia)
kuzungumza na watendaji wa CCm kutoka wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro
leo. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo, Iddi Mohamed.
Ruta akimkabidhi taarifa Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, baada ya kuisoma
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Iddi Mohamed akifungua kikao kabla ya Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi kuzungumza na watendaji wa Chama
kutoka wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro leo
Mkuu
wa kitengo cha Utafiti na Mafunzo ya Itikadi kutoka Idara ya Itikadi na
uenezi Makao Makuu ya CCM, Frank Uhahula akijitambulisha na
kutambulisha ugeni uliofuatana na naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajabu
Luhwavi kwenye kikao hicho.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akizungumza na watendaji wa
Chama kutoka wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro, katika kikao
kilichofanyika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akizungumza na watendaji
wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro, katika kikao
kilichofanyika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akisisitizaa jambo,
alipozungumza na watendaji wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa wa
Kilimanjaro, katika kikao kilichofanyika Ofisi ya CCM mkoa wa
Kilimanjaro mjini Moshi leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
0 maoni:
Chapisha Maoni