Katibu wa Jukwaa Huru la Wazalendo Tanzania.Mtela Mwampamba (Katikati) akizungumza na waandishi mjini Dodoma Mara baada ya kusoma tamko la Jukwaa Huru la Wazalendo Tanzania kuhusu Hujuma dhidi ya Mhe.Rais John Pombe Magufuli. Wengine pichani ni wajumbe wa jukwaa hilo,Halphan Hamis kushoto na Mariam Fundi.
Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kati
0 maoni:
Chapisha Maoni