Jumatano, 4 Mei 2016

CHUMI ASHINDA KESI YA UBUNGE JIMBO LA MAFINGA, KATIBU WA CCM AMPONGEZA

Mbunge wa  jimbo la Mafinga mkoani Iringa Bw Cosato Chumi (kulia) akimpongeza wakili  wake Asheri Utamwa baada ya mahakama kuu kanda ya Iringa kutoa
hukumu iliyompa ushindi mbunge Chumi kufuatia kesi  iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea  ubunge  jimbo hilo kupitia Chadema Bw Willy Mungai
Mbunge wa jimbo la Mafinga Bw Cosato Chumi akiweka sawa  bendera ya ubunge leo kabla ya kuondoka  viwanja vya mahakama kuu kanda ya Iringa baada ya  kushinda kesi ya uchaguzi ,kulia ni katibu wa CCM wilaya ya Mufindi Bw Jimson Mhagama  katibu mtoto nchini Tanzania
wakili maarufu wa Chumi Bw Asheri Utamwa (kushoto ) akizungumza na wanahabari  baada ya mteja  wake Chumi  kulia kushinda kesi ya uchaguzi  leo.

0 maoni:

Chapisha Maoni