Mkurugenzi
wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Dk. Aggrey Mlimuka akizungumza
wakati wa uzinduzi wa program ya Mwanamke wa Wakati Ujao inayolenga
kuboresha ufanisi utakaowawezesha kumudu nafasi za uongozi. Hafla hiyo
ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Dk. Aggrey Mlimuka (kulia),
akishikana mikono Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB),
Sabasaba Moshingi (kulia), katika hafla ya uzinduzi wa program ya
Mwanamke wa Wakati Ujao jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka Usimamizi na Udhibiti wa Hifadhi za Jamii (SSRA), Irene
Isaka.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Hifadhi za Jamii (SSRA),
Irene Isaka akizungumza wakati wa uzinduzi wa program ya Mwanamke wa
Wakati Ujao jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu akizungumza na washiriki katika hafla hiyo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akizungumza katika uzinduzi huo.
Meneja
Vipaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Lilian Makau Galinoma
akizungumza na washiriki wa program hiyo ilipozinduliwa jijini Dar es
Salaam leo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Simba Cement, Reinhardt Swart (kushoto),
akifurahi na baadhi ya washiriki na waandaaji wa uzinduzi huo.
Mkurugenzi
wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Dk. Aggrey Mlimuka pamoja na
baadhi ya wawakilishi wa makapuni yanayosapoti program ya Mwanamke wa
Wakati Ujao (walioketi), wakipiga picha ya kumbukumbu pamoja na baadhi
ya washiriki wa program hiyo.
Baadhi
ya washiriki wa program hiyo wakisikiliza hotuba ya ufunguzi wa program
ya Mwanamke wa Wakati Ujao jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi
ya washiriki wa program ya Mwanamke wa Wakati Ujao (Female Future)
wakihudhuria hafla ya uzinduzi jijini Dar es Salaam leo.
0 maoni:
Chapisha Maoni