Jumatano, 22 Juni 2016

PICHA NA MATUKIO MWENGE WA UHURU WAWASILI LEO MANISPAA YA IRINGA


 Mkuu  wa  wilaya ya  Iringa  Richard  Kasesela  (kushoto)  akipokea  Mwenge  kutoka  kwa  mkuu  wa  wilaya ya  Kilolo  Bw Seleman  Mzee  baada ya  Mwenge  huo  kumaliza mbio  zake wilaya ya  Kilolo na  kuanza  mbio  hizo  katika  halmashauri ya  Manispaa ya  Iringa

 Mkuu  wa wilaya ya  Kilolo Bw  Seleman  Mzee  kushoto  akimkabidhi  Mwenge  mkuu  wa  wilaya ya Iringa Bw  Richard  Kasesela  leo
  Alex Kimbe meya  wa  Manispaa ya  Iringa wa  tatu  kulia  akiwa na mwenyekiti wa CCM Iringa mjini  Abed  Kiponza wa  kwanza  kulia  wakati wa  kupokea  Mwenge  wa  uhuru  leo

 Kiongozi  wa  mbio za  mwenge  kitaifa  Bw  George  Mbijima  akikagua uzinduzi  wa daraja  la Igumbilo  leo

 Uzinduzi  wa  gari la  wagonjwa Hospitali ya  Frelimo
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Taifa George Mbijima akizindua gari la wagonjwa katika Hospital ya manispaa ya Iringaflerimo

 Mstahiki  meya  wa Manispaa ya  Iringa  Alex Kimbe akipokea    mwenge  wa Uhuru
Kaimu meya manispaa ya Iringa akipokea mwenge wa uhuru

mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ccm Iringa MJINI AKIPOKEA MWENGE WA UHURU

Katibu wa chama cha democrasia na maendeleo chadema mkani Iringa Martho akipokea mwenge wa uhuru

diwani wa kata ya mshindo Ibrahimu Ngwanda akipokea mwenge wa uhuru


diwani wa kata ya nduli [ccm]akipokea mwenge




Mhandisi  wa  ujenzi  Manispaa ya  Iringa Bw Mashaka  Luhamba  akitoa  taarifa  ya  mradi  wa  daraja  la Igumbilo katika  Manispaa ya  Iringa  leo

0 maoni:

Chapisha Maoni