Jumatatu, 20 Juni 2016

MWENGE WA UHURU UNAENDELEA NA MBIO ZAKE MKOANI IRINGA



Mkuu  wa  wilaya ya  Iringa Richard  Kasesela  akipokea mwenge  wa  Uhuru  kutoka kwa  mkuu mkuu ya  Mufindi  Bw  Jowika  Kasunga  leo baada  ya  kuanza mbio  zake  wilaya ya  Mufindi
Mbio za  Mwenge  katika Halmashauri ya  Iringa
Mkuu  wa  wilaya ya  Iringa Richard  kasesela wa  tatu  kulia  akisakata  dansi  katika mapokezi ya  Mwenge Iringa
Watumishi wa Halmasahuri ya Iringa Vijijini wakifanya yao baada ya kukabidhiwa mwenge wa uhuru leo

0 maoni:

Chapisha Maoni