00:29
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Abrahaman
Kinana Ikulu kwa ajili ya futari ya pamoja na viongozi mbalimbali wa
dini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
baadhi ya viongozi wa dini mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kufuturu
pamoja na viongozi wengine wa dini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum
wakati akiwasili kwa ajili ya kufuturu pamoja na viongozi wa madhehebu
mbalimbali ya dini Ikulu jijini Dar es Salaam.
0 maoni:
Chapisha Maoni