Jumatano, 4 Mei 2016

BARABARA YA MKIMBIZI MANISAPAA YA IRINGA YALETA KERO KWA WAKAZI KUTOKANA NA KUHARIBIKA

Gari  likipita  kwa  shida barabara ya Mkimbizi mjini Iringa ambayo  mashimo na madimbwi mengi  bila mvua kunyesha
Hii ni  barabara  ya  kuelekea Mkimbizi Bima mjini Iringa
Wananchi  wakilazimika kutembea kwa miguu  baada ya daladala  kushindwa  kufika mwisho  kutokana na ubovu wa barabara hiyo
Madimbwi  kila kona
Magari yakilazimika  kugeuza njiani kutokana na ubovu wa barabara
Hii ndio  barabara ya Mkimbizi mjini Iringa
WANANCHI  wa Mkimbizi katika Manispaa ya  Iringa wamemwomba  mkuu  wa wilaya ya Iringa Bw Richard Kasesela  kufanya ziara  katika  barabara  ya Mkimbizi Bima kutokana na viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya  Iringa  kuitelekeza barabara hiyo bila matengenezo na  kupeleka wananchi  kutembea kwa miguu .

0 maoni:

Chapisha Maoni