Jumamosi, 25 Juni 2016

NHC YAKUTANA NA WADAU WA SEKTA YA UJENZI KUPITIA MRADI WA ECO RESIDENCE KINONDONI HANANASIFU JIJINI DAR ES SALAAM

1Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumkba la Taifa la Tanzania (NHC), Issack Peter  akitoa mada kuhusu utendaji wa Shirika hilo jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa  kujifunza utekelezaji  mradi wa ECO Residence uliojengwa na NHC Kinondoni Hananasifu na kujadili mapendekezo ya mradi huo.
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG.
2Prof  Ninatubu  Lema ,kutoka Chuo cha Uhandisi na Teknolojia (CoET) akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa  kujifunza  utekelezaji wa  mradi ECO Residence na kujadili mapendekezo ya mradi huo.
3 4Wadau mbalimbali wa sekta ya ujenzi wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mkutano wa  kujifunza utekelezaji  mradi wa ECO Residence na kujadili mapendekezo ya mradi huo.
5Wafanyakazi wa Shirika la Nyumkba la Taifa la Tanzania (NHC) wakimsikiliza Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika hilo, Issack Peter  wakati akitoa ufafanuzi kuhusiana na malengo ya uendelezaji wa mradi huo.
6Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumkba la Taifa la Tanzania (NHC), Issack Peter akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kujifunza utekelezaji  mradi wa ECO Residence na kujadili mapendekezo ya mradi huo.
7Muonekano wa Jengo  linavyoonekana kwa nje.

0 maoni:

Chapisha Maoni