Posted by Esta Malibiche on Nov 6,2016 in NEWS
Waziri
wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce
Ndalichako akihutubia alipokuwa akifunga mkutano wa wadau wakiwemo
wabunge wa kuboresha sekta ya elimu nchini mjini Dodoma jana. Mkutano
huo wa siku mbili uliandaliwa na Chuo Kikuu cha Aga Khan.
Mkurugenzi
wa Chuo Kikuu cha Aga Khan, Profesa JoeLugalla akielezea mambo
mbalimbali waliyokubaliana katika mkutano huo jinsi wadau wanavyotakiwa
kusaidiana na serikali kuboresha elimu nchini.
Washiriki wakisikiliza kwa makini wakati Profesa Ndalichako akifunga mkutano huo uliofanyika kwenye Hoteli ya Morena.
0 maoni:
Chapisha Maoni