Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akipokea hundi
kifani yenye thamani ya shilingi Bilioni 4.5 kutoka kwa Mwenyekiti wa
Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Puma Energy Dkt. Ben Mosha, wakati wa
Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya
shilingi Bilioni 23 kutoka kwa Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC
Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina (Treasury
Squire) Mjini Dodoma
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika, akipokea mfano
wa hundi yenye thamani ya shilingi Bil. 2.0 kutoka kwa Mwenyekiti wa
Bodi ya Wakurugenzi ya Tiper (T), Prof. Abdulkarim Mruma, wakati wa
Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya
shilingi Bilioni 23 kutoka Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank
PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina (Treasury
Squire) Mjini Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango(Mb), (Katikati) akinyoosha dole gumba kuashiria "mambo safi", wakati akipokea hundi ya shilingi Biln 16.5 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Ineke Bussemaker, wakati wa Hafla fupi ya serikali kukabidhiwa Hundi za Mfano zenye thamani ya shilingi Bilioni 23 kutoka Kampuni za Puma Energy, Tiper (T) na NBC Bank PLC, ambazo imewekeza hisa zake, katika ukumbi wa Hazina (Treasury Squire) Mjini Dodoma
0 maoni:
Chapisha Maoni