Kwa Habari za kitaifa na kimataifa

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za michezo na burudani

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za afya

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za Kilimo

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za uchumi na biashara

Tembelea Kali ya habari

Kwa habari za elimu

Tembelea Kali ya habari

Jumanne, 31 Mei 2016

MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI MBALI MBALI LINDI VIJIJINI

 Mwenge wa Uhuru ukiwasili kwenye uwanja wa mpira wa Mchinga I,wilaya ya Lindi vijijini ambapo ulizindua miradi mbalimbali ya kimaendeleo katika Majimbo mawili wa wilaya hiyo, jimbo la Mchinga na jimbo la Mtama.  Viongozi mbali mbali wakiwa wamesimama tayari kuupokea Mwenge wa Uhuru katika wilaya ya Lindi Vijijini  Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Bw. George Jackson kitaifa akizindua mradi wa maji...

MBUNGE WA JIMBO LA MTAMA MKOANI LINDI NAPE NNAUYE AMJULIA HALI BABA WA DIWANI WA CHADEMA

 Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akisalimiana na  Diwani wa kata ya Mtama Bw. Hassan Omary Nyimbile (CHASEMA) mara baada ya kuwasili kwenye hospitali ya Nyangao kumjulia hali Baba wa Diwani huyo aliyelazwa hapo. .  Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipewa...

Serikali yajadili Rasimu ya Kiswahili ya Mpango wa Kukabiliana na Maafa

Mkurugenzi wa Utafiti na Mipango Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Naima Mrisho akitoa neno la ufunguzi katika mkutano wa kujadili na kuboresha rasimu ya Kiswahili ya Mpango wa Halmashauri wa Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa katika Ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Mei 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mwenyekiti wa Chama cha Msalaba Mwekundu Bw....

IN LOVING MEMORY OF OUR BELOVED PROF. HELEN I. LUGINA

Helen, though it is five years today since God called you, the memories are still strong as the One pm Shining light.  Your unconditional love truly brightened our lives just like the meaning of your name. Every day in some small way, memories of you come our way. Living without you is the hardest part of all but with the peaceful memories you left us, you will walk with us forever. Each one of us still...

UWANJA WA NDEGE SINGIDA NI ‘JIPU’ NANI WA KULITUMBUA?

Mfanyakazi  wa  kikosi  cha zimamoto na uokozi katika  uwanja  wa  ndege wa mkoa wa Singida akijiandaa  kwa kukifanyia majaribio  kifaa chake  cha  kuzimia moto wakati  ndege  iliyombeba balozi wa China nchini Dr  Lu Yong,ng ikiwasili katika  uwanja  huo jumapili ya May 29 wakati wa  ziara  yake wilayani Iramba Hapa ...

MFUKO WA PENSHENI WA PPF WAHIMIZA WAKAZI WA TANGA KUJIUNGA NA MFUMO WA WOTE SCHEME

   Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Charles John Mwijage akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Mfuko wa Pensheni wa PFF mara baada ya kufungua maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Tanga yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwakidila jijini  Afisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Mkoa wa Tanga, Jabir Bundile akiwa kwenye banda lao lililopo kwenye maonyesho hayo Afisa...

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA ‘AFRICA WORLD HERITAGE JIJINI ARUSHA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Vitambu kutoka  Rais wa Bermuda Emmissions Control Limited, Bw. Donal Smith katika mkutano wa ‘Africa World Heritage’ aliounfungua kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mei 31, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Vitambu kutoka  Rais wa Bermuda Emmissions Control Limited, Bw. Donal Smith katika...

Balozi Herbert Mrango akagua ukarabati MV Magogoni.

Kaimu Mtendaji wa TEMESA Mhandisi Manase Ole kujan (Kushoto) akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme(TEMESA) Balozi Herbert Mrango (katikati) wakati Bodi hiyo ilipotembele ukarabati wa kivuko cha magogoni. Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme(TEMESA) Balozi Herbert Mrango( wa tatu kulia) akiongoza na wajumbe wa bodi hiyo wakati Bodi hiyo ilipotembele...

Kampuni ya Regency Innovation Solutions na United Bank for Africa [Tanzania] wazindua kadi ya malipo ya kipekee Afrika

s Bw.Tesha Philemon Kaimu Mkurugenzi wa KItengu cha Huduma za Kibenki Mtandaoni Benki ya UBA kushoto akibadilishana mikataba na Bw. Mike Raymond Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Regency Innovation Solutions baada ya kusaini mkataba wa kutoa huduma ya kadi ya malipo ya kipekee ya Visa inayoitwa  Mimosa Black Card leo kwenye hoteli ya Regency Park Mikocheni jijini Dar es salaam. Bw.Tesha Philemon Kaimu Mkurugenzi...

WAZIRI MKUU: WATAALAMU WA MALIKALE KUWENI WABUNIFU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wataalamu wa mambo ya malikale na uhifadhi wa urithi asilia (natural heritage) watafute mbinu zitakazoimarisha utunzaji wa rasilmali hizo bila kuathiri mifumo ya uchumi ya nchi zinazoendelea. Ametoa wito huo leo (Jumanne, Mei 31, 2016), wakati akifungua Mkutano wa Kimataifa wa siku nne unaojadili Uhifadhi wa Urithi wa Dunia wa Afrika kama Nyenzo ya kuleta Maendeleo Endelevu...

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMWAKILISHA RAIS DKT JOHN MAGUFULI KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA AFRIKA, NCHINI PAPUA NEW GUINEA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Papua New Guinea Mhe. Peter O Neil Alipowasili Katika kituo cha Mikutano cha kimataifa ACC mjini Papua New Guinea leo Mei 31,2016 kwa ajili ya kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa siku mbili kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific (ACP) unaojadili masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili...