Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu
Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud Jumbe
Mwinyi pamoja viongozi wengine alipotembelea Ujenzi wa barabara ya
Mgagadu-Kinanzini Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika
ziara ya kutembelea na kuzindua miradi mbali mbali ya Maendeleo, [Picha
na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Afisa Mdhamini
wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mohamed Baucha
alipotembelea Ujenzi wa barabara ya Mgagadu-Kinanzini Wilaya ya Mkoani
Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kutembelea na kuzindua
miradi mbali mbali ya Maendeleo, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Mkurugenzi wa Mfuko wa Barabara katika
Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Ali Twahir akitoa
maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya
Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 katika Wilaya ya Mkoani
Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara leo ya kutembelea barabara hiyo,
[Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba
Mhe,Mwanajuma Majid Abdalla akimakaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuwasalimia
Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini
yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya
Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara
maalum ya kutembelea barabara hiyo leo, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Sheha wa Shehia ya Kendwa Wilaya ya
Mkoani Bibi Subira Mohamed Ali alipokuwa akizungumza kero za Shehia yake
wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein alipowasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa
Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa
Serikali kupitia Idara ya Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa
Kusini Pemba alipofanya ziara leo ya kutembelea barabara hiyo, [Picha na
Ikulu.] 07 Nov 2016.
Baadhi ya Wananchi na Viongozi
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwasalimia Wananchi wakati
alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini yenye urefu wa
Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya Barabara katika
Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara leo ya kutembelea
barabara hiyo, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza na kuwasalimia
Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya Mgagadu-Kinanzini
yenye urefu wa Kilomota 7.6 iliyojengwa Serikali kupitia Idara ya
Barabara katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara
maalum ya kutembelea barabara hiyo leo, (katikati) Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Pemba Mhe,Mwanajuma Majid Abdalla na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani
Mhe,Hamed Suleiman, [Picha na Ikulu.] 07 Nov 2016.
0 maoni:
Chapisha Maoni