Ijumaa, 4 Novemba 2016

OFISI YA MTAKWIMU MKUU YATOA TAARIFA YA MFUMKO WA BEI ZANZIBAR.

Posted by Esta Malibiche on Nov 4,2016 in BIASHARA

t1
-Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano kuhusiana na Mfumuko wa bei katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mwanakwerekwe Zanzibar wakifuatilia maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha bei Khamis Ahmada Shauri.
t2
Mkuu wa Kitengo cha Bei Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Khamis Ahmada Shauri akielezea kuhusu Mfumuko wa Bei kutoka Sept 2016 ambapo ulifika asilimia 4.0 na kufikia asilimia 4.1 Oct 2016.
t3
Meneja Msaidizi Idara ya Uchumi Benki Kuu Tawi la Zanzibar Evarist Mgangaluma akifafanua jambo kuhusiana na Mfumuko wa Bei kutoka Sept 2016 ambapo ulifika asilimia 4.0 na kufikia asilimia 4.1 Oct 2016.
t4
Mwandishi mwandamizi kutoka ITV Farouk Karim akiuliza maswali katika mkutano wa kuelezea Mfumuko wa Bei kutoka Sept 2016 ambapo ulifika asilimia 4.0 na kufikia asilimia 4.1 Oct 2016.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

0 maoni:

Chapisha Maoni