Mama mitindo Asya Idarous Khamsini (kati) akiwa katika picha ya
pamoja na mashabiki wake wa mitindo kwenye usiku wa Tanzania Red Carpet
uliofanyika siku ya Jumamosi March 12, 2016 mjini Seattle jimbo la
Washington na kuhudhuriwa na Watanzania wanaoishi jimbo hilo na marafiki
zao.Khamsini akipata ukodak moment.
Wavaaji
Wavaaji nguo za mitindo wakipata picha ya pamoja na mama mitindo Asya Idarous Khamsini.
0 maoni:
Chapisha Maoni