Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielkea kwenye soko la samaki la Feri akitokea ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam kukagua hali ya soko hilo Machi 22, 2016. Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua eneo la kukaangia samaki kwenye soko la samaki Feri la jijini Dar es salaam Machi 22, 2016, Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mama Lishe wakati alipotembelea soko la samaki la Feri jijini Dar es salaam Machi 22, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia Mama Lishe wakati alipotembelea soko la samaki la Feri jijini Dar es salaam Machi 22, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Chapisha Maoni