Alhamisi, 17 Machi 2016

Rais Magufuli na Mkewe Wavutiwa na kipindi cha Clouds 360 leo, Wameamua Kupiga Simu LIVE Studio.



Rais John Magufuli na Mkewe, Mama Janeth leo amekuwa Rais wa kwanza Tanzania kupiga simu ya surprise moja kwa moja kwenye kituo cha runinga kama mtazamaji wa kawaida akichangia yaliyokuwa yanajadiliwa kwenye kipindi. Magufuli amezungumza moja kwa moja na watangazaji wa kipindi cha ‘360’ cha Clouds TV akiwapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya ikiwa ni pamoja na namna walivyochambua magazeti na.

0 maoni:

Chapisha Maoni