Msaada wa Matibabu ya Mtoto EBENEZA PEMBE anasumbuliwa na Kansa ya Ngozi
Mama
ROIDA MUHAMA mkazi wa Mkimbizi mjini Iringa, anamuuguza mwanaye aitwaye
EBENEZA PEMBE anayesumbuliwa na saratani ya ngozi kwa miaka sita sasa.
Anaomba
msaada wa hali na mali ili aendelee kumtibia mwanaye, Anahitaji kiasi
cha fedha shilingi milioni moja kwa ajili ya kuendelea na matibabu
katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.
|
Mtoto EBENEZA PEMBE anayesumbuliwa na Kansa ya Ngozi kwa zaidi ya Miaka 6 anahitaji Msaada wa fedha zitakazo muwezesha kwenda kupatiwa Matibabu katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam. |
0 maoni:
Chapisha Maoni