UNFPA yakabidhi vifaa tiba vyuo na taasisi za afya nchini.
Mwakilishi
wa Shirika la UNFPA nchini Natalia Kanem (aliyesimama) akitoa hotuba ya
ufunguzi wa mafunzo ya kutumia simu kwa ajili ya kufundisha wakunga na
wauguzi njia ya uzazi salama, waliokaa kutoka kulia ni Mkurugenzi wa
Idara ya Mafunzo Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto (Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali) Dkt. Otilia Gowele, Msajili wa
Baraza la Uuguzi Lena Mfalila na Geeta Lal kutoka makao makuu ya UNFPA
Mkurugenzi
wa Idara ya Mafunzo Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Dkt.
Otilia Gowele akitoa hotuba ya ufunguzi wa mafunzo kuhusu uzazi salama
kwa njia ya simu kwa wawakilishi wa Vyuo vya Afya nchini pamoja na
Taasisi zinazoshughulikia afya ya mama na mtoto, waliokaa meza kuu
kutoka kulia ni Nayanesh Bhandutia kutoka makao makuu ya UNFPA,
Mkurugenzi Msaidizi wa Mafunzo ya Wauguzi na Wakunga Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ndementria Vermand,
Mwakilishi wa Shirika la UNFPA nchini Natalia Kanem, Msajili wa Baraza
la Uuguzi Lena Mfalila na Geeta Lal kutoka makao makuu ya UNFPA
Wawakilishi
kutoka Vyuo vya Afya na Taasisi zinazojihusisha na uzazi salama nchini
wakifuatilia mafunzo ya uzazi salama kwa kutumia teknolojia mpya ya
simu.
Geeta
Lal kutoka Makao Makuu ya UNFPA akitoa maelekezo kwa washiriki (hawapo
pichani) kuhusu mafunzo ya uzazi salama ambayo yanapatikana ndani ya
simu hiyo.
Mkuu
wa Chuo cha Uuguzi Newala Tecla Ungele (wa kwanza kulia) akipokea seti
ya simu ya kufundishia uzazi salama kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya
Mafunzo Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Otilia Gowelle , wa kwanza kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la UNFPA
nchini Natalia Kanem
0 maoni:
Chapisha Maoni