Mchezaji
Frank Peter wa Banc ABC (kulia), akijitahidi kumtoka Kambili John wa
Ramada katika mashindano ya makampuni yaliyofanyika Uwanja wa Chuo Kikuu
Kishiriki cha Ualimu Dar es Salaam (DUCE), Chang'ombe jijini Dar es
Salaam leo asubuhi. Mashindano hayo yaliandaliwa na Kampuni ya Popular
Sports and Entertainment Tanzania Ltd
0 maoni:
Chapisha Maoni