KAMBI YA FFU-UGHAIBUNI YANUSURIKA KUTEKETEA NA MOTO
Zimamoto wameiokoa !
Moto ambao hakuleta madhara makubwa!
Kuwa
jengo linalotumiwa kufanyika mazoezi na bendi maarufu ya muziki wa
dandi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni limeshika moto
ghafla na kuokolewa na kikosi cha zimamoto huko ujerumani.
Wadakuzi wa mambo walimtafuta mkuu wa bendi hiyo bila mafanikio
kamanda ras makunja kazima simu. tukampata mmoja wa wanamuziki
wa bendi hiyo ambaye alisema kweli kambi ilishika moto lakini moto huo
hakufika katika ukumbi wa mazoezi,kwani ukumbi wa mazoezi upo chini
under ground ambako si rahisi kufika.jengo hilo pia ni kuna kituo cha vijana
na ofisi za tahasisi mbali mbali zinazoshughulika mambo ya utamaduni.
chanzo cha moto huo akijajulikana lakini inaonyesha ulianzia katika papipa ya taka yaliwekwa jirani mlango.
0 maoni:
Chapisha Maoni