Shughuli ya mauridi ya kumsifu mutume imefana
Uongozi wa Al Masjid Qubbah na Madrasat Rahman ya Tabata Segerea Mwisho,Dar-es-salam inatoa shukurani kubwa sana kwa wale wote waliudhuria na kuchangia kwa kila hali kufanikisha shughuli ya Mawlid ya Mtume Muhammad (S.W.A) yaliyofanyika jumamosi 19 Machi 2016 katika viwanja vya madrasat Rahman Segerea mwisho,jiji Dar-es-salaam ambapo shughuli hiyo ilifana sana kuanzia saa 4 asubuhi kulianza na shughuli ya mawlid upanede wa wanawake hadi saa 10 alhasir,ambapo wanafunzi wa kike kutoka madrasa mbali mbali na akimama warishiki,ilipofika saa 2 usiku baada ya swala ya insha ndio kukaanza mawlid ya jumla ambako wageni,madrasa na wanazuoni mbali mbali walijumuika katika Mawlid haya mtume Muhammad (S.W.A) shughuli iliyojaa baraka tele ilimalizika jumapili asubuhi. Madrasa Rahaman Segerea mwisho inawashukuru pia wanahabari na mitandao yote ya kijamii kwani mchango wenu ni mkubwa ni mungu pekee atakaye walipaINSHAALLAH.
WABILLAH TAUFIQIH mawasiliano Simu 0777 000036, au 0712 840 960
0 maoni:
Chapisha Maoni