Jumanne, 22 Machi 2016

MWANAMKE ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA MAUAJI YA KIKATILI

 
 
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa RUVUMA ZUBERY MUOMBEJI.
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la FRIDA KAPINGA mkazi wa MKUZO kata ya MSAMALA mjini SONGEA mkoani RUVUMA anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa kosa  la kufanya mauaji ya kikatili dhidi ya mtoto wake wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu.

0 maoni:

Chapisha Maoni