Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ZEC Jecha Salim Jecha amemtangaza Dk Ali Mohamed Shein kuwa
mshindi wa kiti cha urais visiwani humo baada ya kupata kura 299.982 sawa na asilimia 91.4 ya kura zote zilizopigwa ambapo chama cha wananchi CUF kilitangaza kususia huku vyama vingine vikishiriki .
mshindi wa kiti cha urais visiwani humo baada ya kupata kura 299.982 sawa na asilimia 91.4 ya kura zote zilizopigwa ambapo chama cha wananchi CUF kilitangaza kususia huku vyama vingine vikishiriki .
Uchaguzi wa Zanzibar ulifutwa
Oktoba 25 mwaka jana baada ya dosari mbalimbali kujitokeza ikiwemo
aliyekuwa mgombea wa urais kupitia chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad
kujitangazia ushindi jambo lililopelekea Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
ya Zanzibar ZEC Jecha Salim Jecha kutangaza kuufuta uchaguzi huo
0 maoni:
Chapisha Maoni