Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na viongozi wa Tanzania Footbal Federation (TFF) ofisini
kwake jijini Dar es salaam Machi 21, 2016 Kutoka kushoto ni Katibu
Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa, Rais wa TFF, Jamal Malinzi, Mkurugenzi
wa Ufundi Salum Madadi na Msaidizi wa Rais wa TFF, Juma
Matandika.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Chapisha Maoni