Maalim Seif akizunguma na vyombo vya Habari kuhusu uchaguzi wa marudio Zanzibar
Aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ambaye alitangaza kususia uchaguzi wa marudio licha ya jina lake kujumuishwa kwenye makaratasi ya kura, amesema ameiachia CCM kuamua hatma ya nchi hiyo.
0 maoni:
Chapisha Maoni