Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye ( katika)
akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Lu You Qing wakati
alipowasili katika ofisi za Kampuni ya ving’amuzi ya StarTimes kwa ajili
ya kupokea msaada wa iPad kwa ajili ya kuboresha utendaji kazi wa
Maafisa Mawasiliano Serikalini, kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania Bw. LEO Liofang.
Balozi
wa China nchini Tanzania Mhe. Lu You Qing (kushoto) akiteta jambo na
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye kabla ya
sherehe za makabidhiano ya msaada wa iPad kwa ajili ya kuboresha
utendaji kazi wa Maafisa Mawasiliano Serikalini toka Kampuni ya
ving’amuzi ya StarTimes, mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante
Ole Gabriel (kushoto) akiteta jambo na Kaimu Mkurugezi Idara ya Habari
Bi. Zamaradi Kawawa wakati wa sherehe za makabidhiano ya msaada wa iPad
kwa ajili ya kuboresha utendaji kazi wa Maafisa Mawasiliano Serikalini
toka Kampuni ya ving’amuzi ya StarTimes, mapema hii leo jijini Dar es
Salaam (katikati) ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa
(TBC) Dkt. Ayoub Rioba.
Afisa Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania
Bw. LEO Liofang (katikati) akimtambulisha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika
la Utangazaji la Taifa (TBC) Dkt. Ayoub Rioba kwa (kushoto) kwa Balozi
wa China nchini Tanzania Mhe. Lu You Qing wakati wa sherehe za
makabidhiano ya msaada wa iPad kwa ajili ya kuboresha utendaji kazi wa
Maafisa Mawasiliano Serikalini toka Kampuni ya ving’amuzi ya StarTimes,
mapema hii leo jijini Dar es Salaam
0 maoni:
Chapisha Maoni