Naibu
Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya
Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati Kamati hiyo ilipokutana na
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa.
Naibu
Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akifuatilia Mjadala kati ya Wajumbe
wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa alipoitembelea kamati hiyo. Anayezungumza
kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Balozi Adadi Rajabu na
(kulia mwenye tai yekundu) ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Charles
Kitwaga.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Bw.
Felix Mgamlagosi aliyemtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Bw.
Felix Mgamlagosi aliyemtembelea leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Kulia Ni Afisa Meneja Mahusinao wa EWURA Bw Titus Kaguo.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Meneja Mahusiano wa EWURA Bw Titus
Kaguo wakati walipomtemblea Ofisini kwake kati kati ni Mkurugenzi
Mtendaji wa EWURA Bw. Felix Mgamlagosi
(Picha na Ofisi ya Bunge)
0 maoni:
Chapisha Maoni