Mwanamke wa Afrika bado anakabiliwa na changamoto” - Waziri Ummy Mwalimu
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Ally
Mwalimu ( Mb) ametoa hutuba kwa niaba ya Kundi la Nchi za Afrika wakati
wa ufunguzi wa Mkutano wa 60 wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu
Hali ya Wanawake ( CSW).
0 maoni:
Chapisha Maoni