Abiria wa basi la Nganga lililokuwa likisafiri kutoka mjini Iringa
kwenda Ruaha Mbuyuni wilaya ya kilolo likipuliziwa dawa ya kuua
vimelea vya Kipindupindu na maofisa afya wa Manispaa ya Iringa zoezi
hilo linafanyika kwa mabasi yote yanayoingia na kutoka mjini Iringa
Zoezi la kupulizia dawa mabasi ya abiria kuua vimelea vya kipindupindu likiendelea
0 maoni:
Chapisha Maoni