Wanafunzi wa shule ya Sekondari Mlafu katika wilaya ya kilolo mkoani Iringa walivyonaswa na kamera ya KALI YA HABARI wakitoka shule kuelekea kijijini Mlafu
kupeleka chakula katika ndoo kwa wanafunzi wenzao walioku wakisaga nafaka kwa ajili ya matumizi ya shuleni
Kazi kushirikiana si wavulana wala wasichana wote ni kazi tu
0 maoni:
Chapisha Maoni