Jumanne, 22 Machi 2016

MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipokea cheti maalum cha Ushindi wa Uchaguzi wa marudio kutoka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akisalimiana na Wagombea wa Vyama vya Siasa baada ya kutangazwa mshindi jana na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,

 Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapindiuzi (CCM) na Wananchi na Vyma vya Upinzani waliohudhuria katika hafla ya utolewaji wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Marudio katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana,

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akisalimiana na Wagombea wa Vyama vya Siasa baada ya kutangazwa mshindi jana na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akisalimiana na Wagombea wa Vyama vya Siasa baada ya kutangazwa mshindi jana na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,

0 maoni:

Chapisha Maoni