Msafara wa Mh Naibu Waziri wa TAMISEMI JAFFO umepata Ajali mbaya Na Watu kadhaa wapoteza Maisha
Naibu waziri TAMISEMI Mh
Selemani Jafo Amepata Ajali ktk Msafara wake huko Mapinga Magamoyo Baada
ya Roli kugonga Magari Matatu yakiyokuwa mbele yake ktk Msafara Wake!
Na Waliofariki ni Maafisa toka
Halmashauri ya Bagamoyo! watu kadhaa wamefariki papo hapo na Majeruhi
kadhaa ambao Wamekimbizwa Hospitali kwa Sasa!
Naibu waziri Yeye yuko Salama na Ndio anashughulikia Kufanya uokozi katika eneo la ajali na kukwamua baadhi ya majeruhi hao
Chanzo cha Ajali hii ni Uzembe
wa Dereva wa Gari Dogo na Mtu wa Roli Kubwa Kuover Take ktk Mlima na
Msafara ukiwa Unakuja Mbele licha yakuwa Tayali Mbele Gari ya Asali
kuashiria Msafara unakuja lakini Madereva hawa Walitoka kuwahi na
kusababisha Ajali ambayo imepoteza Uhai wa watu, Kuumiza watu nakuharibu
Mali za Serikali
0 maoni:
Chapisha Maoni