Tesha amabaye ni mjumbe kutoka Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) akiongoza kikao cha kupitia mapendekezo ya Sheria ya Ununuzi wa Umma Sura ya 410.
Baadhi ya wadau wakifuatilia vipengele vya sheria wakati wa kupitia mapendekezo ya Sheria ya Ununuzi wa Umma.









Sekretarieti ya Tume ikiwa makini kufuatilia hoja zilizokuwa
zikiwasilishwa wakati wa kupitia mapendekezo ya maboresho ya Sheria ya
Ununuzi wa Umma (Picha zote na Munir Shemweta, Tume ya Kurekebisha
Sheria Tanzania)
0 maoni:
Chapisha Maoni