Posted by Esta Malibiche on Dec 9,2016 in NEWS
Ofisa
Mauzo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Fredrick Sawaki
(kulia), akitoa maelezo kuhusu mafao yatolewayo na NSSF kwa wananchi
waliotembelea banda la shirika hilo wakati wa maonessho ya Viwanda vya
Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere
Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Ofisa
Mauzo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Fredrick Sawaki
(kulia), akitoa maelezo kuhusu mafao yatolewayo na NSSF kwa wananchi
waliotembelea banda la shirika hilo wakati wa maonessho
ya Viwanda vya Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius
Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Ofisa
Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Sarah
Mazengo (kushoto), akitoa maelezo kuhusu mafao yatolewayo na NSSF kwa
wananchi waliotembelea banda la shirika hilo wakati wa maonessho ya
Viwanda vya Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius

Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Anna
Nguzo (kushoto), akitoa maelezo kuhusu mafao yatolewayo na NSSF kwa
mmoja wa wananchi waliotembelea banda la shirika hilo wakati wa
maonessho ya Viwanda vya Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya
Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakiwa katika banda la NSSF.
Baadhi ya watu wakipata elimu juu ya NSSF.
Ofisa
Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Sarah
Mazengo akitoa elimu juu ya Mafao yatolewayo na NSSF kwa mmoja wa watu
waliofika katika banda la NSSF.
Ofisa
Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Anna
Nguzo (kushoto), akitoa maelekezo namna ya kujaza fomu ya kujiunga na
NSSF kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda hilo.
0 maoni:
Chapisha Maoni