Jumatatu, 12 Desemba 2016

LAPF YAWALIPA BILIONI 8.3 ZA FAO LA UZAZI WANACHAMA WAKE WALIOJIFUNGUA

Posted by Esta Malibiche on Dec 12,2016 in NEWS

Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela (watatu kulia) akikabidhi hundi kwa mawanachama
wa Mfuko wa LAPF, Nchama Renatus (wapili kushoto) ambaye ni mnufaika wa fao la
zazi kwa wanawake wanachama wa mfuko huo na kuhuhudiwa na wanufaika wengine wa
Mkoani Mwanza jana. Kushoto ni Meneja wa LAPF Kanda ya Ziwa, Yesaya
Mwakifulefule ambapo alisema Sh bilioni 8.3 zimetumika kuwalipa fao la uzazi
wanawake wanachama wa mfuko huo.
Mfuko wa LAPF umeweza kulipa fao la uzazi kwa jumla
ya wanchama elfu kumi Tangu mfuko  huo uanze kulipa fao hilo kwa
wanchama wake mwaka 2012.
 
Akiongea katika hafla
hiyo Meneja wa LAPF, Kanda ya ziwa,  Yessaya Mwakifulefule amesema LAPF
imetumia zaidi ya shilingi  bilioni 8.3 kulipa fao la uzazi kwa kina
mama wanachama wa Mfuko huo.
 
Akikabidhi hundi
ya malipo hayo kwa mwanachama Nchama Renatus ambae ni mwalimu wa shule
ya msingi Uhuru iliyopo Nansio Ukerewe,Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John
Mongela ameupongeza mfuko wa LAPF kwa kuwajali wanachama wake na kulipa
mafao kwa wakati.
Meneja
wa LAPF Kanda ya Ziwa, Yesaya Mwakifulefule akiwa amemapaka mtoto wa Mwanachama
wa mfuko Nchama Renatus baada ya mama huyo na wenzake kukabidhiwa hundi zao za
fao la uzazi. Jumla ya sh bilioni 8.3 zimetumika kuwalipa fao la uzazi wanawake
wanachama wa mfuko huo mkoani Mwanza.
 Meneja
wa LAPF Kanda ya Ziwa, Yesaya Mwakifulefule akiwa amemapaka mtoto wa Mwanachama
wa mfuko Nchama Renatus (katikati) baada ya mama huyo na wenzake kukabidhiwa hundi zao za
fao la uzazi. Jumla ya sh bilioni 8.3 zimetumika kuwalipa fao la uzazi wanawake
wanachama wa mfuko huo mkoani Mwanza. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela akiwa amepakata mtoto wa mnufaika.
Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela (watatu kulia) akikabidhi hundi kwa mawanachama
wa Mfuko wa LAPF, Nchama Renatus (wapili kushoto) ambaye ni mnufaika wa fao la
zazi kwa wanawake wanachama wa mfuko huo na kuhuhudiwa na wanufaika wengine wa
Mkoani Mwanza jana. Kushoto ni Meneja wa LAPF Kanda ya Ziwa, Yesaya
Mwakifulefule ambapo alisema Sh bilioni 8.3 zimetumika kuwalipa fao la uzazi
wanawake wanachama wa mfuko huo.
 Picha ya pamoja ya wanufaika na mgeni rasmi.
Meneja
wa LAPF Kanda ya Ziwa, Yesaya Mwakifulefule akisalimia.

0 maoni:

Chapisha Maoni