Afisa Maendeleo ya Jamii na Mratibu wa Mfuko
wa Maendeleo ya Jamii halmashauri wa Wilaya Mufindi Mkoa wa Iringa,na
Mwezeshaji katika vijiji kuhusu (TASAF) Emmanuel Mrutu akitoa utaratibu
wa malipo kwa walengwa katika mpango wa kunusuru kaya maskini Kijiji
cha Magunguli wilayani Mufindi, mkoani Iringa hivi karibuni. Jumla ya kaya maskini 78 katika Kijiji cha Magunguli zinanufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini zimelipwa malipo ya miezi miwili (Novemba na Desemba) lakini kwa bahati mbaya wawakilishi wa kaya mbili kati hizi wamefariki dunia. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA) |
0 maoni:
Chapisha Maoni